Facebook

Sunday 22 June 2014

Tazama mmiliki wa picha maarufu iliyotikisa katika Windows XP



PHOTO.jpg

Nimeshangaa sana kuona hii Picha na kupata maelezo yake Thanks kwa huyu Mzeee
I am still far from being what I want to be, but with God's help I shall succeed.
  Hiyo picha huyo mzee aliiuza kwa kampuni ya microsoft.Wenzetu wanatoa support sana,na nilichogundua hawa wenzetu wanasupportiana sana...ukitazama namna ya hyo picha ni kama ya kawaida kwa kuipiga lakini Photographer kala shav.

Tumehamia katika site hii mpya na bado tuko katika maboresho,hii ni katika hatua za awali kabisa kuiboresha site yetu na utoaji wa habari na burudani.Vitu vingi vitaonekana katika site hii mpya hivi karibuni.Endelea kutembelea www.bantutz.com

0 comments:

Post a Comment