"Amesema ni muhimu mjadala huo wa kitaifa kwakua hali mbaya sana
kiuchumi,misamaha ya kodi imekua mikubwa,wakubwahawalipi kodi wakati
wauza vitumbua wanalipa kodi,uchumi unakua kwenye mifuko ya
watawala.Hivyo tuwe na mjadala wa kitaifa wa uchumi tujadiliane na
tupate muafaka wa uchumi wetu kwa pamoja"
Hivi sasa
tunahamia katika site yetu mpya inayoitwa www.bantutz.com
ni katika kuboresha huduma zetu za kutoa habari za uhakika na burudani.
0 comments:
Post a Comment