
Ndoa hiyo imefungwa kiserikali huko Matadepera, Catalonia, Spain.
Pep na mchumba wake Cristina, kwa pamoja na watoto wao watatu na wazazi wao, walifanya sherehe ndogo kuhalalisha mapenzi yao.
Tazama picha hapo chini namna ndoa ya Guardiola ilivyokuwa
Guardiola mwenye shati la kaki na mkewe
Cristina mwenye suruali nyeusi pamoja kti jekundu wakisindikizwa na
ndugu zao kwenda kufunga ndoa.
0 comments:
Post a Comment