Facebook

Tuesday, 3 June 2014

Diamond kufanya ‘kollabo’ na Trey Songz ?

10296638_321755267974603_792512582_n

Diamond bado yupo nchini Marekani,hii picha amepiga pamoja na mmoja wa mwanachama wa kundi la Wasafi ikimwonesha Diamond akiwa na meneja wa wasanii wakubwa wa Marekani, akiwemo Trey Song, Big Sean, Estelle…
Bila shaka kukutana kwao si bure… tutarajie kitu kingine kikubwa toka kwa Diamond?


Tuko katika maboresho hivi karibuni blog hii itakuwa ni site ambayo itaitwa www.bantutz.com ni katika hatua za kuboresha huduma zetu za kutoa habari,tutakuja katika muonekano mpya na bora zaidi.

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment