Rapa wa muziki kutoka nchini Marekani Kanye West ameelezea wasiwasi
wake juu ya usalama wa mtoto wake wa pekee North West katika macho ya
jamii ambapo sasa anachukua hatua madhubuti katika kumlinda mtoto wake
huyo wa kike kwa pamoja na mke wake Kim Kardashian.
Rapa huyo mwenye umri wa miaka 36 anadaiwa kuchukizwa na picha zote
zilizopigwa za mtoto wake wakati wa kipindi cha harusi yake na Kim mwezi
uliopita na anataka kuchukua tahadhari zaidi katika kumuweka salama
mtoto wake huyo.
Kim na Kanye wamekuwa wakigombana juu ya jinsi mtoto wao North alivyowekwa hadharani wakati wa kipindi cha harusi.
Chanzo kimoja cha karibu na wanandoa hao kimesema kuwa Kanye
hakujisikia vizuri jinsi mtoto wake alivyoonyeshwa sana hadharani na
anataka kuhakikisha matukio kama hayo yanakwisha na anamlinda mtoto
wake.
Kanye amekuwa mkali siku zote akipinga mtoto wake kupigwa picha hadharani lakini ameshindwa kulikabili suala hilo.
Tuko katika maboresho hivi karibuni
blog hii itakuwa ni site ambayo itaitwa www.bantutz.com ni katika hatua za
kuboresha huduma zetu za kutoa habari,tutakuja katika muonekano mpya na bora
zaidi.
Related Posts:
Alichokijibu Flora Mbasha kwa mashabiki wake #KikaangoniLive EATV.Haya... Mambo ya Flora Mbasha na mashabiki
wake # KikaangoniLIVE ya East Africa Television
(EATV) ...
… Read More
Angelina Jolie na Brad Pitt wafunga ndoa.
Wacheza filamu maarufu wa Marekani, Angelina Jolie na Brad Pitt wamefunga ndoa.
Sherehe ndogo ya faragha iliyofanyika nchini Ufaransa,imemaliza miaka na mikaka ya tetesi za vyombo vya habari, ikiwa watafunga ndoa au la… Read More
Diamond atajwa kuwania tuzo za kimataifa.
Muimbaji wa Tanzania, Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz ametajwa kuwania tuzo za reggae za kimataifa na muziki wa dunia 2014 (International Reggae and World Music
Awards (IRAWMA).
Diamond ametajwa kuwania kipengele cha Best … Read More
50 Cent aongelea suala la Suge Knight kupigwa risasi.
Katika siku ya jumapili usiku(24 August 2014) lilitokea tukio kurushiwa risasi mastaa mbalimbali katika maandalizi ya tuzo za VMA na inasemekana mmelengwa alikuwa ni Chriss Brown,huku Nyota mwinginw,Suge Knight alinusurika k… Read More
Kilichojiri katika utoaji wa tuzo za VMA 2014.
Tuzo za VMA 2014 zimefanyika na nyota wengi walifika kwenye hilo tukio.Orodha ya nyota hao iliongozwa na familia ya Jay Z na Beyonce wakiwa na
mtoto wao Blue Ivy,Kelly Rowland,Chris Brown,Solange,Nicki
Minaj,JLo,Us… Read More
0 comments:
Post a Comment