Facebook

Tuesday 13 May 2014

Je unamjua Mwanamke mwenye ndevu alietangazwa mshindi.

Screen Shot 2014-05-13 at 1.04.01 AM 

Mwanamuziki wa Austria Conchita Wurst ambae ana miliki headlines za kuwa Mwanamke mwenye ndevu kama mwanaume ameshinda kwenye mashindano ya muziki barani Ulaya yaitwayo Eurovision Song Contest ambayo yalikua na watazamaji wa TV zaidi ya milioni 120.
Mashindano yalifanyika Copenhagen nchini Denmark mara ya mwisho mwanamuziki kutoka Austria kushinda mashindano hayo ilikuwa mwaka 1966 ukiwa ni mwaka ambao Atletico Madrid ilishinda La Liga na Real Madrid walishinda ubingwa wa Ulaya.
Hiyo inaweza kujitokeza tena mwaka huu kwani Atletico wanakaribia kushinda La Liga na Real ndoto zao ni La Decima.
Screen Shot 2014-05-13 at 12.50.06 AM 


Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com uweze kujionea maajabu na vioja mbalimbali vinavyotokea duniani...

0 comments:

Post a Comment