Facebook

Wednesday 14 May 2014

Jumba La Tony Montana Aliyeigizwa Kwenye Filamu Ya Scarface Laingizwa Sokoni.


1 

Jumba alilofia mfanya biashara wa dawa za kulevya maarufa kama Tony Montana na baadae kuchezewa filamu ya maisha yake iliyoitwa Scarface yaingizwa sokoni. Juma hili linaloitwa La casa grande linauzwa dola milioni 35 za Kimarekani.
  2 3 4 5 6 7 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 23 25

0 comments:

Post a Comment