Facebook

Sunday, 15 June 2014

Mishahara wanayolipwa makocha wa kombe la dunia 2014..Fabio Capello aongoza

Kocha wa zamani wa timu ya taifa ya Uingereza, Fabio Capello
ndiye anaongoza kwa kulipwa vizuri miongoni mwa makocha wote wa timu za taifa zinazoshiriki Kombe la Dunia mwaka huu nchini Brazil.

Kocha wa timu ya taifa ya Uingereza, Roy Hodgson analipwa pauni Milioni 3.5 kwa mwaka.
 
 
Hivi sasa tunahamia katika site yetu mpya inayoitwa www.bantutz.com ni katika kuboresha huduma zetu za kutoa habari za uhakika na burudani.

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment