
Lucas Moura atajwa kwenye list ya wachezaji saba ambao wanaweza kuitwa kama ikitokea mchezaji alieitwa akiumia kabla ya Kombe la Dunia kuanza
Brazil standby list:
Lucas Leiva (Liverpool), Alan Kardec (Sao Paulo), Lucas Moura (PSG), Rafinha (Bayern Munchen), Filipe Luis (Atletico Madrid), Miranda (Atletico Madrid), Diego Cavalieri (Fluminense).
0 comments:
Post a Comment