Monday, 19 May 2014
Mapenzi ya Rihanna na Drake Yadaiwa Kwenda Likizo kwa Mara Nyingine
Imeripotiwa kuwa Drake na Rihanna ambao walionekana kurudisha mapenzi yao kwa miezi michache iliyopita, inasemekana wawili hao wamerudi tena likizo ya mapenzi.
Chanzo kimeiambia US Weekly kuwa Riri na Drizzy walikuwa na ugomvi mwingine tana hivi karibuni kutokana na Drake kuwa na mapenzi mengi kwa Rihanna, kilisema chanzo hicho.
Couple hiyo yenye historia ya kuwa On na Off kwa muda mrefu ilianza kuonesha uhai mpya wa mapenzi yao walipokutana Paris, Ufaransa mwezi February, ambapo Riri alihudhuria show ya Drake, na baada ya hapo wakawa wanaonekana pamoja mara kwa mara.
Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com kufuatilia kila kitakachokuwa kinaendelea kuhusiana na uhusiano wa Drake na Rihanna
Related Posts:
Diamond ajitolea kuwasomesha watoto.Baada ya kupata mafaniko mazuri kupitia muzik.Nyota wa Muziki wa kizazi kipya nchini Nassib Abdul "Diamond Platnumz" Kupitia matamasha mbalimbali aliyokuwa anayafanya hususan tamasha alilolifanya kipindi cha Krismasi. Aliende… Read More
BEN POL ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA NA WATOTO WODINI MUHIMBILILeo ni siku ya kuzaliwa ya nyota wa Bongo fleva,Ben Pol na amechagua kuisherehekea siku hiyo ndani ya hospitali ya taifa ya Muhimbili wodi ya watoto kitengo cha mifupa, Ben Pol ameambatana na wasanii wenzake Linex, Bob … Read More
Mchekeshaji maarufu aaga duniaMchekeshaji maarufu nchini Marekani Joan Rivers amefariki dunia akiwa na umri wa miaka themanini na na mmoja. Joan alikuwa amelazwa katika hospitali moja mjini New York kwa wiki kadhaa sasa akisumbuliwa na maradhi ya moyo. Me… Read More
Diamond awaomba mashabiki kumpigia kura Tuzo za Channel O Ni hatua kubwa anazozidi kuzipiga msanii wa kizazi kipya nchini,Diamond Platnumz,ambaye hivi sasa anaipeperusha vyema bendera ya Taifa hili. Ni katika hatua nyingine ambayo mafanikio yanazidi kusogea,Diamond kup… Read More
Mwimbaji maarufu na mshiriki wa shindani la X FACTOR afariki dunia. Simone Battle ambae alikua ni mshiriki kwenye shindano la X Factor mwaka 2011 na vilevile mwimbaji kutoka kundi la waimbaji wa kike la G.R.L amekutwa amefariki nyumbani kwake Los Angeles Marekani. Bado chanzo … Read More
0 comments:
Post a Comment