Jade Sylvester mwenye umri wa miaka 25  anashindia toilet paper mwaka 
sasa tangia kuanza tabia hiyo ya kula karatasi za maliwato. 
Mimba ya 
kwanza ndiyo ilisababsiha haya yote, akina mama wengi upatwa na mikasa 
kama hii ya kupenda kula vitu ambavyo kwa hali ya kawaida huwa ni vigumu
 kufanya.Jade ubugia mizigo 8 kwa siku na anashindwa 
kujizuia kupenda kula mzigo huo licha ya kutokuwa na mimba kwa sasa. 
 
0 comments:
Post a Comment