Hii
ndio show ya kwanza kwenye ziara ya mikoa kadha itakayotembelewa na
wasanii wa muziki wa bongo fleva na dance kupitia ziara ya kili 2014.
Show hii ya kwanza imefanyika moshi kwenye uwanja wa Ushirika Moshi
Kilimanjaro na kupata mashabiki wangi waliokuja kutazama show na
kuburudika. Wasanii walikuwa Mwana F A, Khadija koppa, Ben Pol, Weusi,
Kala Jeremiah, Jambo Squad, Profesa Jay, Ommy Dimpoz,Warriors from the
East, na Ney Wa Mitego.
Mtoto wa Eminem apewa tuzo ya heshima shuleni
Baba
Eminem na mwanaye Hailie Jade Scott Mathers (kulia) ambaye amepewa tuzo
ya heshima shuleni kutokana na kufanya vizuri kwenye masomo yake.
Bintiwa rapa Eminem, Hailie Jade Scott Mathers, amehiti…Read More
Kilichojiri kuhusiana na kesi inayomkabili Oscar Pistorius
Upande wa utetezi katika kesi ya mwanariadha wa Afrika Kusini Oscar
Pistorius umemaliza kuwasilisha hoja zake za utetezi. Wakili wake, Barry
Roux amesema amemaliza kuita mashahidi.
Lakini amesema baadhi ya
…Read More
Alichopost Marcelo kuhusiana na mechi ya leo.
Beki
wa Brazil Marcelo ametweet picha hii akiwa na kiungo wa Ujerumani Mesut
Ozil, waliocheza pamoja Real Madrid. Marcelo amesema: "Nina hamu ya
kukutana na wewe tena. Nywele zangu ziko vilevile lakini zako
zim…Read More
0 comments:
Post a Comment