Facebook

Monday, 19 May 2014

Ubingwa raha:Watu hawakulala mjini Madrid baada ya Atletico kutwaa ubingwa La Liga..


Filling the streets: Atletico Madrid fans hit the Neptuno fountain to celebrate after their club won the La Liga title by drawing 1-1 with Barcelona in the Nou Camp

FUNIKA mbaya! maelfu ya mashabiki wa Atletico Madrid wameshangilia usiku kucha baada ya timu yao kubeba ubingwa wa La Liga kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 18
Mashabiki hao walifunga mitaa ya mji mkuu wa Hispania, Madrid ambapo ndio makao makuu ya Atletico Madrid huku wakimshangilia kocha mkuu, Diego Simeone.
Mastermind: Diego Simeone is hurled into the air by Atletico players after securing the title
Jubilant: Atletico fans were lighting flares and celebrating late into the night
Atletico supporters celebrated long into the night

Related Posts:

  • FIFA ina imani na michuano Brazil   Rais wa shirikisho la soka duniani Fifa amesema kuwa ana imani kuwa kombe la dunia nchini Brazil litakuwa na ufanisi mkubwa. Bwana Sepp Blatter ametoa wi… Read More
  • Sterling hatimaye aiuza LA CLippers Aliyekuwa mmiliki wa timu ya mpira wa vikapu LA Clippers, ambaye amezongwa na balaa za kisheria, Donald Sterling, amekubali kuiuza klabu hiyo. Bwana Sterling ameiuza klabu hiyo kwa aliyekuwa mkuu wa kampuni ya … Read More
  • Platini akanusha kupokea hongo ! Makamu wa rais wa FIFA Michel Platini amepinga madai alihongwa Rais wa shirikisho la soka barani Ulaya ambaye pia ni Makamu wa rais wa FIFA ,Michel Plat… Read More
  • Ribery nje michuano ya Kombe la Dunia Mkufunzi wa Ufaransa amedhibitisha kuwa mshambulizi Frank Ribery hatashiriki kombe la dunia kutokana na jeraha. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 31 na … Read More
  • Dondoo muhimu kuhusu kombe la dunia Je wajua kwamba.... Mpira rasmi utakaotumika katika michuano ya Kombe la Dunia unaitwa "Brazuca." Maana yake ni "Ya Kibrazil" ikimaanisha mienendo ya kimaisha ya Brazil. Mpira huo utatengenezwa na kampuni ya Adidas, a… Read More

0 comments:

Post a Comment