
LeBron James tayari ni jina kubwa kwenye NBA, hii ikimaanisha sio tatizo kwake kuwa na magari ya kifahari, biashara kubwa na nyumba kwenye kila mji anaotaka kuishi. Baada ya kujiunga na Miami Heat miaka kadha nyuma alinnunua hii nyumba.
Entertainment and Updates
0 comments:
Post a Comment