Jana mwigizaji maarufu nchini Vicent kigosi - Ray
amesherehekea siku yake ya kuzaliwa huku akipata salamu mbalimbali za
pongezi toka kwa mastaa mbalimbali nchini. Moja ya watu wa kwanza kwanza kumpa salamu hiyo ni swahiba na
rafiki yake mkubwa, JB akifuatiwa na mpenzi wake wa zamani Johari ambaye
salamu yake inadaiwa na wachunguzi wa mambo kuwa ni kwa namna flani
inamponda mpenzi wa sasa wa Ray , Chuchu hans, kutokana na maneno
yaliyotumika ya salamu hiyo ambayo Johari anadaiwa kuwahi kuyatumia
kumponda Chuchu siku za nyuma.
JB ameandika ''Happy birth day mdogo wangu ray.mungu akupe haja ya moyo wako.''
Na huku Johari akiandika ''Happy birthday director wa rj na swaiba wangu mungu akuongoze akupe maisha marefu na akuepushe na ‘’mabarazuri’’ Hongera sana kaka kigosi. Mungu akupe maisha marefu.
Tumehamia
katika site hii mpya na bado tuko katika maboresho,hii ni katika hatua za awali
kabisa kuiboresha site yetu na utoaji wa habari na burudani.Vitu vingi
vitaonekana katika site hii mpya hivi karibuni.Endelea kutembelea www.bantutz.com
Mtoto wa Pele jela miaka 33
Edinhio Pele alikuwa mlinda lango kabla ya kusataafu soka
Mwanawe gwiji wa soka Brazil na
duniani kote, Pele, Edinho Pele, amefungwa jela miaka 33 kwa kufanya
biashara haramu ya pesa au kujipatia pesa chafu zilizoto…Read More
RAY C alitamani Penzi la kikongwe
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Rehema Chalamila ‘Ray C’, amesema kwa
sasa hana mpango wa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mtu, na kama
ikitokea basi atamtaka kuwa na miaka kuanzia 60.
Akizungumza katika…Read More
Diamond aweka historia New Jersey
All Star
Club Elizabeth New Jersey Diamond akikamua licha ya show kuchelewa
kuanza na wapenzi wa Diamond kushikwa na jazba wakitaka aendelee lakini
ikashindika kutokana na muda wa kufunga club kufika.
&n…Read More
Mwimbaji wa Marekani Ray J matatani....
Mwimbaji wa Marekani Ray J amekamatwa na polisi mjini Beverly Hills kwa
tuhuma za kuzozana katika baa ya hoteli ya Beverly Wilshire. Polisi wa Beverly Hills waliitwa baada ya kutokea malalamiko kuwa msanii huyo alimshi…Read More
0 comments:
Post a Comment