
Nicki Minaj amejibu swali hili kwa uhakika kabisa bila wasiwasi wowote na kuwa gumzo tena.Minaj akiwa anafanya interview na magazine ya I-D moja ya majibu yake yana jadiliwa hivi sasa kwenye internet.
Jibu hilo ni kuhusu mwanaume bora zaidi na kwa haraka Nicki alisema siku moja ataondoka na Drake wakafunge ndoa kwa sababu huyo ndiyo mwanaume bora kwake. Baada ya story hii kuanza kushika vichwa vya habari Drake na yeye akaanza ku-post picha za Nicki Minaj kwenye instagram yake.
Hii si mara ya kwanza kwa wawili hawa kuchukua attention ya watu, mwaka 2010 waliwahi kutengeneza fake marriage kwenye mtandao wa twitter na kuwa gumzo kubwa.

Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com
uweze kujua skendo mbalimbali za wasanii washuhuri duniani
0 comments:
Post a Comment