Facebook

Sunday, 1 June 2014

Picha:kama ulipitwa hapo jana.... Msafara wa kuleta mwili wa marehemu George Tyson Dar Es Salaam

 IMG_4257

Msanii wa Bongo Fleva AY akiwa amewasili na crew yake nzima mkoani Morogoro kumpa pole Mboni Masimba, AY alitoa mchango wa shilingi laki sita kununua jeneza la marehemu Tyson hii ikiwa kama mchango wake kwa kuthamini kile alichomfanyia wakati akiwa hai.
Sasa msafara unaelekea Dar Es Salaam na mwili utafikia Hospitali ya Kairuki iliyopo Mikocheni na msiba utakuwa upo Bahari Beach nyumbani kwa marehemu.

IMG_4263
IMG_4275
IMG_4276
IMG_4277
IMG_4294
IMG_4297IMG_4296 
Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com kupata habari mbalimbali zenye uhakika na ukweli mtupu.

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment