Wiz Khalifa alinunua hii nyumba eneo
la Canonsburg, Pennsylvania, yenye vyumba 5 vya kulala, mabafu 4,
nyumba ya pembeni ya wageni. Hii nyumba ipo karibu na eneo alilolelewa
na kusoma rapper Wiz Khalifa, Inasemekana ni kijana anayependa sana
kuishi karibu na nyumbani au mitaa aliyokulia, sio kwenye miji mikubwa
yenye fujo na kelele za mastaa wengine.
0 comments:
Post a Comment