Facebook

Monday 12 May 2014

Makala:Maneno yanauma kuliko meno...


Pep Guardiola 
 Cristiano Ronaldo alipokuwa mtoto,
aliwahi kumpiga mwalimu wake na kiti
kwa sababu alimtania kwa lafudhi yake
ya Madeiran, Mourinho aliwahi kumuita
Wenger Master of failure!
Tuachane na hayo..Guardiola alifikisha
karibu game 52 bila kufungwa pale
Bundesliga sishangai sana yeye
kuchukua ubingwa maana ile ligi kuna
  BVB Dortmund na Munich tu kwa ubora!!!
Wakati alipokuwa Barcelona aliieleza kamati
ya ufundi ya Barca kuwa anahitaji
kuwaondoa baadhi ya wachezaj
kikosini!! Kwa sababu 80% ya wachezaji
tayari walishachoka na wameshachukua
kila aina ya ubingwa na anahitaj
kuweka carrier mpya! 
Aliwapandisha
Quenca, Tello na Alcantara, kwa yale
manenoa hakuna aliemsikiliza Pep!!
Pep akaondoka!! Barca msimu ulifuata
ilipotea kwenye raman ya soka!! Leo
hii yupo Munich wazee wa tik tak!
Amechukua ubingwa sawa lakin kuna
mapungufu yameonekana!

1.Kwanza kubadilisha mfumo wa
kijeruman!! Timu pekee duniani
inayoweza kuperfom kwa mtindo wa
total football ni Barca, Spain na Brazil
tu! La masia ndio kisima pekee dunian!
huu mfumo unahitaj muda! Leo hii
huwezi kumwambia Bastian cheza one
two! Unamwambia kroos cheza nje ya
D!
2. Pili Kingine anatumia unscoping
midfilder, unamwambia Alaba acheze
kwa kufinya uwanja ili katikati pawe na
conce! Lahm unamwambia cheza
fullback inn!?? Hili lina mfanya kila dakika
Dante aje afanye recovering support
wakati yeye yupo slow! Huu mtindo
upo Barca mfano Alves na Alba
wanaweza maana Pique ata-cover,
Basquet atapunguza presha na puyol
ata-clear je Munich wana hawa watu??

3.Kosa lingine n kufanya majaribio big
match!!! Hivi unacheza na timu enye
bale, Cr7 na Di Maria unategemea nini
ikiwa una mabeki kama Dante na
Boateng?? Halafu unamwambia eti
Lahm amkabe Ronaldo kweli!?? Wakati
winga wake ni roben ambaye havuki
katikati ya uwanja kurudi kukaba!??

Maneno yanauma kwel Tito aliwahi
kulalamika kuwa pep alimtembelea
mara moja tu hospitali wakati moja ya
mafanikio makubwa ya Pep n Titto!
Unadhan wakati barca anapigwa saba na
Munich nan alilaumiwa!?

4. Kosa lingine ni kundharau Muller!
Siku hizi Muller akiingia sub halafu
akafunga huwa haend benchi
kumkumbatia Pep kama 
Alcantara!!! Atakimbia kidogo halafu
ataanza kutukanaaa!! Kila mtu
anamnyooshea kidole Pep!!

5.Ameharibu nature ya watu!mwanzoni
Munich ilikuwa ndo inafunga magoli ya
set pieces na dead ball leo hii Munich
ndo wanfungwa haya magoli, angalia
nuea anavoteseka ameclear mipira 16
msimu huu nje ya box ambayo ni best
saves kisa mpira wa pasinying
unawatamanisha sana full back na
centra defender!
Kuna wakati unaona Bastian
anawabadilisha wenzake uwanja
waanze kucheza ile rugby yao,, hivi
unadhan maneno ya kroos kwa
waandishi wahabari n mazuri kwa
Pep!!!? Pep anahitaj misimu kumi ili
wajeruman wamuelewe je itawezekana
wamvumilie misimu yote hiyo!! ?
NAWASILISHA

Imeandaliwa na.....
                               Katemi Methsela(Blogger) 
                                     0785 442 107

Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com uweze kusoma makala mbalimbali zilizo andikwa na wachambuzi makini na wenye uwezo mkubwa wa kuchambua soka

0 comments:

Post a Comment