Tukio hilo limetokea kutokana na uhasama mkubwa unaoendelea huko mashariki ya kati,ambapo Israel inaendelea kuvamia na kufanya uharibifu mkubwa huko Gaza dhidi ya kikundi cha Kipalestina cha Hamas.
Mashambulizi: Waandamanaji walivamia uwanja na kuanzisha dhoruba ya kuwashambulia wachezaji wa Maccabi Haifa
MECHI
kati ya timu Israeli ya Maccabi dhidi ya Lille ya Ufaransa iliahirishwa
baada ya waandamanaji wanaoiunga mkono Palestina kuvamiwa uwanja.
Waandamanaji
hao walioripotiwa kuwa na asili ya Uturuki waliingia katika uwanja wa
Austrian ambapo mchezo ulikuwa unaendelea na kuwavamia wachezaji wa
Maccabi na kuzua vurugu.
Mmoja wa wachezaji alionekana akizozana na shabiki kabla ya kuanza kurushiana makonde mazito.
Hata hivyo wachezaji wa Maccabi walifanikiwa kutoka uwanjani bila kujeruhiwa.
Tukio hili limekuja wakati huu ambao majeshi ya Israel yamevamia na kufanya uhalifu dhidi ya majeshi ya Hamas huko Gaza.
- See more at: http://shaffihdauda.com/?p=4034#sthash.Dgv6lhIy.dpuf

- See more at: http://shaffihdauda.com/?p=4034#sthash.Dgv6lhIy.dpufISRAEL NA PALESTINA `BIFU` HADI KWENYE SOKA…WAANDAMANAJI WAVAMIA UWANJA NA KUZIPIGA NGUMI `KAVU KAVU` Kimataifa

Mashambulizi: Waandamanaji walivamia uwanja na kuanzisha dhoruba ya kuwashambulia wachezaji wa Maccabi Haifa
MECHI
kati ya timu Israeli ya Maccabi dhidi ya Lille ya Ufaransa iliahirishwa
baada ya waandamanaji wanaoiunga mkono Palestina kuvamiwa uwanja.
Waandamanaji
hao walioripotiwa kuwa na asili ya Uturuki waliingia katika uwanja wa
Austrian ambapo mchezo ulikuwa unaendelea na kuwavamia wachezaji wa
Maccabi na kuzua vurugu.
Mmoja wa wachezaji alionekana akizozana na shabiki kabla ya kuanza kurushiana makonde mazito.
Hata hivyo wachezaji wa Maccabi walifanikiwa kutoka uwanjani bila kujeruhiwa.
Tukio hili limekuja wakati huu ambao majeshi ya Israel yamevamia na kufanya uhalifu dhidi ya majeshi ya Hamas huko Gaza.

ISRAEL NA PALESTINA `BIFU` HADI KWENYE SOKA…WAANDAMANAJI WAVAMIA UWANJA NA KUZIPIGA NGUMI `KAVU KAVU` Kimataifa

Mashambulizi: Waandamanaji walivamia uwanja na kuanzisha dhoruba ya kuwashambulia wachezaji wa Maccabi Haifa
MECHI
kati ya timu Israeli ya Maccabi dhidi ya Lille ya Ufaransa iliahirishwa
baada ya waandamanaji wanaoiunga mkono Palestina kuvamiwa uwanja.
Waandamanaji
hao walioripotiwa kuwa na asili ya Uturuki waliingia katika uwanja wa
Austrian ambapo mchezo ulikuwa unaendelea na kuwavamia wachezaji wa
Maccabi na kuzua vurugu.
Mmoja wa wachezaji alionekana akizozana na shabiki kabla ya kuanza kurushiana makonde mazito.
Hata hivyo wachezaji wa Maccabi walifanikiwa kutoka uwanjani bila kujeruhiwa.
Tukio hili limekuja wakati huu ambao majeshi ya Israel yamevamia na kufanya uhalifu dhidi ya majeshi ya Hamas huko Gaza.

0 comments:
Post a Comment