Yule Mganga alioteka vyombo vya habari kwa kusema yeye ndio amempa
diamond umaarufu na kwa kuwa diamond amemkana hivyo hatokuja kupata tuzo
tena maishani mwake na Ndio mwisho wa Music wake Ameonekana Tapeli wa
Kutupwa
Watu wengi walimuamini yule mganga tapeli na wakasema ndio mwisho wa diamond kimuziki.
Diamond amezibitisha utapeli wa huyo mganga kwa kuchukua tuzo Saba katika Tuzo za KTMA zilizofanyika Juzi.
Siri ya diamond ni kupiga kazi nzuri, menejimenti nzuri bila kusahau wema sepetu na diamond amekiri ilo.....Embu tutolee Mauganga yako hapa

0 comments:
Post a Comment