Diamond avamiwa wakati akiwa jukwaani Ujeruman.Usiku wa Jumamosi Agosti 30, 2014, majira
ya saa 10 alfajiri, mwanamuziki nyota wa
Bongo Flavor, Nasib. Abdul maarufu kama
Diamond Platnumz alijikuta katika hali ya
hatari hadi kuokolewa na Polisi mjini
Stuttgart,…Read More
Angelina Jolie na Brad Pitt wafunga ndoa.
Wacheza filamu maarufu wa Marekani, Angelina Jolie na Brad Pitt wamefunga ndoa.
Sherehe ndogo ya faragha iliyofanyika nchini Ufaransa,imemaliza miaka na mikaka ya tetesi za vyombo vya habari, ikiwa watafunga ndoa au la…Read More
Diamond atajwa kuwania tuzo za kimataifa.
Muimbaji wa Tanzania, Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz ametajwa kuwania tuzo za reggae za kimataifa na muziki wa dunia 2014 (International Reggae and World Music
Awards (IRAWMA).
Diamond ametajwa kuwania kipengele cha Best …Read More
Lady Jay Dee afunguka baada ya kuzushiwa kutoka na "Serengeti Boy"Baada ya kuzushiwa kutoka kimapenzi na kijana mdogo "serengeti boys" na gazeti moja kubwa nchini linaloongoza kwa udaku,Lady Jay Dee kupitia ukurasa wake wa Facebook akanusha taarifa hizo.
Akiwa katika hali ya kusononesha san…Read More
0 comments:
Post a Comment