Tumehamia
katika site hii mpya na bado tuko katika maboresho,hii ni katika hatua za awali
kabisa kuiboresha site yetu na utoaji wa habari na burudani.Vitu vingi
vitaonekana katika site hii mpya hivi karibuni.Endelea kutembelea www.bantutz.com
Sunday, 15 June 2014
Joshua Nassari akiwa katika fungate Tembo camp na Serena hotel Zanzibar.
Related Posts:
Mchekeshaji maarufu aaga duniaMchekeshaji maarufu nchini Marekani Joan Rivers amefariki dunia akiwa na umri wa miaka themanini na na mmoja. Joan alikuwa amelazwa katika hospitali moja mjini New York kwa wiki kadhaa sasa akisumbuliwa na maradhi ya moyo. Me… Read More
"GETO" LA BALOTELLI?Mario Balotelli ndio kwanza amerejea England, kwa mara ya pili, lakini inaonekana haijamchukua muda mrefu kugonga vichwa vya habari, safari hii kwa kuonesha "ladha" ya mitindo na mambo anayopenda. Mchezaji huyo wa Liverpool a… Read More
Diamond awaomba mashabiki kumpigia kura Tuzo za Channel O Ni hatua kubwa anazozidi kuzipiga msanii wa kizazi kipya nchini,Diamond Platnumz,ambaye hivi sasa anaipeperusha vyema bendera ya Taifa hili. Ni katika hatua nyingine ambayo mafanikio yanazidi kusogea,Diamond kup… Read More
Mwimbaji maarufu na mshiriki wa shindani la X FACTOR afariki dunia. Simone Battle ambae alikua ni mshiriki kwenye shindano la X Factor mwaka 2011 na vilevile mwimbaji kutoka kundi la waimbaji wa kike la G.R.L amekutwa amefariki nyumbani kwake Los Angeles Marekani. Bado chanzo … Read More
Mtanangazaji maarufu CNN "abwaga manyanga"Mtangazaji wa TV Piers Morgan ameacha kazi katika shirika la habari la Marekani la CNN, licha ya kupewa nafasi ya kuongeza mkataba wake. Morgan ame tweet akisema anakwenda "kujaribu mambo mengine mapya" baada ya wakuu wa … Read More
0 comments:
Post a Comment