Facebook

Wednesday 7 May 2014

Mwanajeshi Apewa Kichapo Kikali na Askari wa Usalama!




Askari wa Usalama barabarani eneo la Makumbusho, Dar wakimpiga Dereva wa gari ambaye amejitambulisha kama mwanajeshi! Tukio hili limetokea mida ya saa 9 mchana huu. Bado haieleweki chanzo ni nini.

Je, unadhani hivi ndivyo askari wetu wanatakiwa kutekeleza majukumu yao?

0 comments:

Post a Comment