Facebook

Tuesday 13 May 2014

Pep Guardiola alivyotia fora katika sherehe za Ubingwa Munich....



Pati la nguvu: Kocha wa Bayern Munich, Pep Guardiola (kushoto) na mchezaji wake, Pierre-Emile Hojbjerg wakicheza dans jukwaani wakati wa sherehe za kufurahia kutwaa ubingwa wa Ujerumani, Bundesliga
On a high: Guardiola was in good spirits throughout the title celebration
Amechizika: Guardiola alikuwa amechangamka wakati wa lati hilo
Take the mic: Guardiola addresses his player, who were all wearing traditional Bavarian clothing
Kamata kipaza, sema nao: Guardiola akiwatambulisha wachezaji wake kwenye sherehe hilo huku akiwa amevalia vazi la kitamaduni la timu hiyo

0 comments:

Post a Comment