Facebook

Monday 5 May 2014

Picha:Show ya Adam Mchomvu jana New Maisha Club

 
 Mtangazaji wa kipindi cha XXL na  Bongo Fleva 88.5 Clouds FM ,Adam Mchomvu aka Baba la Baba  usiku wa kuamkia leo alizindua video yake mpya inayoitwa 'AU SIO'  kwenye ukumbi wa New Maisha Club jijini Dar es Salaam

 Huku akisindikizwa na wasanii mbalimbali wakiwemo  (Weusi) Nikki wa Pili,Joh Makini,Country Boy,Young Dee,Young Kiler,Shilole,Shetta,Chegge,Mirror na Dogo Asley kutoka Mkubwa na Wanae.Washereheshaji wa Uzinduzi huo ni Fareed Kubanda aka Fid Q na Nickson George wa Clouds TV
Angalia picha mbalimbali za show hiyo























0 comments:

Post a Comment