Facebook

Friday 9 May 2014

Unakijua alichokisema Chid Benz toka tukio la kumpiga mpenzi wake wa zamani.....

Screen Shot 2014-05-05 at 5.47.36 AM 

Rapper Chidi Benz aliingia kwenye vichwa vya habari kwenye vyombo vya habari tofauti tofauti baada ya kudaiwa kumpiga Mwanamke ambae ni mpenzi wake wa zamani hivyo kupelekwa mahabusu weekend ya Pasaka kwa tuhuma za kumpiga Mwanaisha kwenye baa moja maeneo ya flat za Ilala boma.
Kwa mujibu wa Soudy Brown anaemiliki makorokocho.com Mwanaisha alipasuka mdomo na kushonwa nyuzi 18, uso umeumia na kichwa kimevimba.
Ni habari ambayo imetokea sana kwenye vyombo mbalimbali vya habari ambapo Chidi Benz sikumsikia kokote isipokua baadae aliandika sentensi tatu kwenye page yake ya twitter.
1: ‘Napata matatizo kila siku haimaanishi kama ni mbaya, nooop napata matatizo kila siku iko hivyo ndio maana hubaki peke yangu, m sorry love’
2. ‘stronng be u do u, eaazzzy’
3. ‘Mpaka historia ivunjwe sio leo, miaka mi5 mfululizo sijui kwanini hawawezi kusahau. no lie’
Screen Shot 2014-05-05 at 5.46.26 AM
Screen Shot 2014-05-05 at 5.46.18 AM
Screen Shot 2014-05-06 at 11.20.05 PM

0 comments:

Post a Comment