Monday 5 May 2014
Unakijua alichokisema Diamond baada ya kupata tuzo 7??
Diamond Platnumz amekua msanii wa kwanza kupata idadi nyingi ya tuzo tangu kuanzishwa kwake,ukitoa 20% ambaye mwaka 2011/2012.
Diamond ameandika hiki baada ya kukabidhiwa tuzo hizi.
Tuzo alizobeba Diamond kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards ni pamoja na ile ya Mtumbuizaji Bora wa Kiume,Tuzo ya muziki wa Afro Pop,Tuzo ya mwimbaji bora wa kume kizazi kipya,Tuzo ya mtunzi bora wa mwaka,tuzo ya wimbo bora wa mwaka,tuzo ya video bora ya muziki ya mwaka na ile tuzo ya kolabo kati yake na Ney wa Mitego ya wimbo wa Muziki gani.
Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com kupata taarifa mbalimbali zinazowahusu wasanii wa bongo...
0 comments:
Post a Comment