Facebook

Sunday, 25 May 2014

Unayajua maneno aliyoyasema Tupac baada ya kupigwa risasi,kwa askari aliyewahi kwenye eneo la tukio..fuatilia hapa..!!


Screen Shot 2014-05-24 at 11.04.44 PM 
Alizaliwa June 16 1971 huko New York Marekani na kufariki September 13 1996 Las Vegas Nevada Marekani baada ya kupigwa risasi zilizosababisha apelekwe University Medical Center of Southern Nevada lakini akafariki dunia siku sita baadae.
Sasa taarifa za hivi karibuni zilizotolewa na Chris Carroll ambae ni askari polisi aliewahi kwenda kwenye eneo la tukio Tupac alipopigiwa risasi, zinasema maneno ya mwisho yaliyotolewa na rapper huyu kwa afande Carroll ni ‘F**k you’ na alitoa hilo tusi akiwa mikononi mwake.
Screen Shot 2014-05-24 at 6.37.05 PM 

Carroll anasema alijaribu kumuuliza Tupac mara kadhaa ili amwambie anahisi ni nani alihusika kwenye shambulio hilo la kumpiga risasi? mwishowe ndio akatoa hilo tusi kabla ya kuchukuliwa na kupelekwa hospitali.

Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com upate stori mbalimbali amabazo haujawahi kuzisikia na hautazisiska kupitia sehemu nyingine .Jukumu letu sisi ni kukuhabarisha kila tunapopata habari na stori yoyote kwa wakati muafaka.

0 comments:

Post a Comment