Huu ni unyama ambao haupaswi kuvumiliwa uliofanywa na kikundi cha wanamgambo cha Boko Haram waliowateka Wasichana katika shule moja huko Nigeria.
Na inasemekana wamefanya unyama mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuwaua, kuwabaka na kuwafanyia vitendo vya kikatili wananchi mbalimbali wa Nigeria.
Ikiwa haitoshi hapo jana walituma video kaika mtandao wao ambayo chombo chetu kutokana na umakini tulikuwanao tulifanikiwa kuipata..ni katemimethsela.blogspot.com pekee ambapo unaweza kuangalia video hiyo hapo juu ...
Inayoonyesha ukatili uliofanywa na Boko Haram baada ya kumfukia msichana kwenye shimo kisha wakaacha kichwa kikiwa juu na kiwiliwili kufukiwa ardhini na wakaanza kumpiga mawe hadi kuaga dunia....
Kwa taarifa zilizotufikia punde ni kwamba Jeshi la Marekani limetuma askari wake waende kuwasaka wasichana hao waliotekwa na Boko Harama na waweze kukisambaratisha kikundi hicho kinachofanya unyama wa kutisha huko Nigeria na kusababisha majonzi makubwa kwa wazazi wa mabinti hao,Nigeria na Dunia kwa ujumla.....
MUNGU IBARIKI NIGERIA....MUNGU IBARIKI AFRIKA
#BRING BACK OUR GIRLS#
Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com uweze kujua kila kitakachokuwa kinajiri huko Nigeria baada ya kutumwa askari wa Marekani kwenda kuwakomboa wasichana waliotekwa na Boko Haram
Related Posts:
Je,wajua kuna waombolezaji wa kulipwa ?
Kila Alhamisi na Ijumaa, shughuli katika mji
wa Kisumu, magharibi mwa Kenya, huvurugika kwa sababu mamia ya waendesha
pikipiki huzuia barabara kutokana na kukodiwa kuomboleza msiba kwa
malipo.
Kelele za saut… Read More
Meya anayetuhumiwa kuua akamatwa Mexico
Polisi nchini Mexico wamemkamata meya wa mji wa Iguala, pamoja na mke wake ambako wanafunzi 43 walipotea mwezi Septemba.
Jose Luis Abarca ambaye amekuwa akitafutwa amekamatwa na maafisa wa polisi katika mji … Read More
Wakazi waahidiwa dola mia kwa kukamata mbu Taiwan.
Wakazi katika mji mmoja nchini Taiwan wameahidiwa zawadi nono kwa
kukamata mbu. Shindano hilo lilitangazwa na idara ya afya ya jiji la
Kaohsiung, linalenga kupambana na mlipuko wa mbu wanaosababisha homa ya
d… Read More
Obama aahidi kushirikiana na Republican
Kiongozi mpya wa Baraza la Senate la
Marekani kutoka chama cha Republican na Rais Barack Obama wote
wameahidi kumaliza mvutano wa kisiasa ambao umewavunja moyo wapiga kura
wa Marekani.
Wanachama wa Republican wa… Read More
Wanajeshi wa Libya wafukuzwa Uingereza.
Wanajeshi kutoka nchini Libya
wamerejeshwa nchini kwao kutokana na kukosa uadilifu wakiwa mafunzoni
Uingereza huku wengine wakituhumiwa kufanya vitendo vya ukatili wa
kimapenzi.
Wanajeshi hao waliokuwa mafunzoni n… Read More
0 comments:
Post a Comment