Mwimbaji nyota wa Marekani Chris Brown ameachiliwa kutoka gereza moja la Los Angeles.
Naibu Liwali wa LA, Tony Moore amesema mwimbaji huyo wa miondoko ya R&B ameachiliwa siku ya Jumatatu asubuhi.
Naibu Liwali wa LA, Tony Moore amesema mwimbaji huyo wa miondoko ya R&B ameachiliwa siku ya Jumatatu asubuhi.
Brown amekuwa gerezani tangu Machi 14, baada ya kuvunja sheria ya
mahakama kuhusiana na kesi ya kumpiga mpenzi wake wa zamani, Rihanna
mwaka 2009.
0 comments:
Post a Comment