Mwimbaji na muigizaji nyota wa Marekani Miley Cyrus ameibiwa gari na vito vyake vya thamani.
Polisi wa mjini Los Angeles wamethibitisha kuwa wizi huo umetokea siku ya Ijumaa nyumbani kwa Miley, San Fernando Valley.
Polisi wanawasaka watu wawili, mwanaume na mwanamke kuhusiana na tukio hilo.
Wezi hao walipanda ukuta na kuingia nyumbani kwa Miley, wakati hayupo.
Gari aina ya Maserati na idadi isiyofahamika ya vito vimeibwa na watu hao.
Tuko
katika maboresho hivi karibuni blog hii itakuwa ni site ambayo itaitwa www.bantutz.com ni katika hatua za kuboresha huduma
zetu za kutoa habari,tutakuja katika muonekano mpya na bora zaidi.
0 comments:
Post a Comment