Mwana dada mwenye skendo za kila kukicha ame-post picha ikimuonyesha munekano wake wa nywele na hata sura.

Muonekano
huo unatumika katika jarida moja linalohusu muziki na maisha ya watu
maarufu kwa ujumla.Rihanna ndie atakae tumika kama cover photo.


0 comments:
Post a Comment