Facebook

Monday, 9 June 2014

Khole Kardashian na French Montana walivyooneshana mapenzimMTV MAMA2014


Khole Kardashian na French Montana Walivyooneshana Mapenzi Tele MTV MAMA2014
Khole Kardashian amefunga safari kutoka Marekani mpaka Durban, Afrika Kusini kwa ajili ya kumuangalia French Montana aliyekuwa na ratiba ya kuperform kwenye tuzo za MTV MAMA. Lakini kumuangalia tu akipiga show haikutosha!
Camera za paparazzi zimewanasa wakiwa kwenye hall la ukumbi huo wakioneshana mahaba, so its official na hawataki iwe tetesi kama mwanzo.
Khole Kardashian Khole KardashianKhlole na french montanakhole red carpet

Tuko katika maboresho hivi karibuni blog hii itakuwa ni site ambayo itaitwa www.bantutz.com ni katika hatua za kuboresha huduma zetu za kutoa habari na burudani.Tutakuja katika muonekano mpya na bora zaidi.Vitu vizuri vipya usivyotarajia utaviona na kufurahia kupitia www.bantutz.com....

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment