Ligi kuu ya Ujerumani(Bundesliga) imefika tamati jana Jumamosi kwa mechi
kadhaa kupigwa katika kukamilisha Ratiba huku Bingwa na walioshuka
daraja wakiwa wameshapatikana.
MCHANGANUO
BINGWA:
Bayern Munich; Wamechukua ubingwa wa Bundesliga mara ya pili mfululizo
kwa kufikisha pointi 90 pointi 19 zaidi ya Dortmund wanaokamata nafasi
ya pili.
Timu zilizoshuka daraja:
FC Nürnberg Imemaliza katika nafasi ya 17 ambayo ni nifasi ya pili kutoka mwisho ikiwa na pointi 26 na kushuka daraja moja kwa moja.
Eintracht Braunschweig hii imekamata nafasi ya mwisho yani nafasi ya 18 ikiwa na pointi 25 Imeshuka dara moja kwa moja.
*Hamburg SV ambao wamekamata nafasi ya 16 wakiwa na
pointi 27 watatakiwa kushinda mechi mbili za mwisho watakapocheza na
timu ya daraja la kwanza inayopigania kupanda daraja. Na iwapo Hamburg
watashuka daraja basi itakua mara yao ya kwanza katika historia ya klabu
hiyo.
Timu zilizopata nafasi ligi ya mabingwa(UEFA CHAMPIONS LEAGUE):
Bayern Munich
Borussia Dortmund
Schalke 04
Bayer Leverkusen
Timu Zilizopata nafasi UEFA Europa League:
VfL Wolfsburg
Borussia Mönchengladbach
FSV Mainz 05
> Jumla ya michezo 306 imechezwa, magoli 957 yamefungwa (wastani wa magoli 3.13 kwa mechi)
Robert Lewandowski ameibuka mfungaji bora akifunga jumla ya magoli 20
Ushindi mkubwa nyumbani:
Hertha BSC 6–1 Eintracht Frankfurt
Borussia Dortmund 6–1 VfB Stuttgart
Ushindi mkubwa ugenini:
Werder Bremen 0–7 Bayern Munich
Michezo iliyoisha kwa magoli mengi:
VfB Stuttgart 6–2 Hoffenheim
Borussia Dortmund 6–2 Hamburger SV
Bayer Leverkusen 5–3 Hamburger SV
Hoffenheim 4–4 Werder Bremen
Hoffenheim 6–2 VfL Wolfsburg
Michezo mingi timu ikishinda mfululizo:
Michezo 19 - Bayern Munich
Michezo mingi bila kufungwa
Michezo 28 - Bayern Munich
Michezo mingi bila ushindi:
Michezo 17 - Nürnberg
Michezo mingi timu ikifungwa mfululizo
Michezo 8 - VFB Stuttgart
Maudhurio makubwa:
Watazamaji 80,645 - Borussia Dortmund 6–2 Hamburger SV
Maudhurio madogo zaidi:
Watazamaji 23,000 - Eintracht Braunschweig 0–1 Werder Bremen
Wastani wa maudhurio ni watazamaji 42,475 kwa mechi.
Matokeo ya michezo iliyochezwa jana (Jumamosi) Bundesliga:
> Bayer Leverkusen 2-1 Werder Bremen
Theodor Gebre Selassie(21')
Ömer Toprak(33')
Heung-Min Son(53')
> Bayern Munich 1-0 VfB Stuttgart
Claudio Pizarro(90')
> FC Augsburg 2-1 Eintracht Frankfurt
Joselu(15')
Ragnar Klavan(29')
André Hahn(79')
> Hannover 96 3-2 SC Freiburg
Szabolcs Huszti(45')
Jonathan Schmid(50')
Artjoms Rudnevs(65')
Philipp Zulechner(78')
Edgar Prib(80')
> Hertha Berlin 0-4 Borussia Dortmund
Robert Lewandowski(41')
Milos Jojic(44')
Robert Lewandowski(80')
Henrik Mkhitaryan(82')
> Mainz 3-2 Hamburg SV
Elkin Soto(7')
Pierre-Michel Lasogga(12')
Yunus Malli(65')
Shinji Okazaki(82')
Ivo Ilicevic(84')
> Schalke 04 4-1 Nurnberg
Joel Matip(6')
Roman Neustädter(45')
Julian Draxler(75')
Josip Drmic(90')
Chinedu Obasi(90')
> TSG Hoffenheim 3-1 TSV Eintracht Braunschweig
Sebastian Rudy(15')
Roberto Firmino(64')
Kevin Volland(70')
Jan Hochscheidt(88')
> VfL Wolfsburg 3-1 Borussia Monchengladbach
Kevin De Bruyne(30')
Christoph Kramer(64')
Ivan Perisic(68')
Robin Knoche(81')
Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com uweze kupata uchambuzi wa ligi mbalimbali
0 comments:
Post a Comment