Facebook

Wednesday 7 May 2014

Dk. Kitila Mkumbo Ajitambulisha Rasmi ACT

Dk. Kitila Mkumbo amejitambulisha rasmi kuwa ni mwanachama wa ACT kupitia Clouds fm leo asubuhi amesema atamshauri Zitto aje kugombea uwenyekiti.

  Imefahamika kuwa Dr. Kilila Mkumbo kathibitisha habari hii. Amekiri kuongena na Clouds FM na kwamba yeye ni Mwanachama wa Alliance for Change and Transparency (ACT).

0 comments:

Post a Comment