Facebook

Wednesday 7 May 2014

Mrema Ampasha Mbowe: Sitaki uwaziri kivuli



Niaibu aibu kwa Mbowe kusema hata niteua uwaziri kivuli Mbowe alishaa kuwa nani katika nchi hii mm sitaki kuwa kivuli nataka uwaziri kamili 

Nimewahi kuwa NAIBU waziri mkuu na waziri Wa mambo ya ndani 

Kuniita kibaraka Wa ccm ni kunipaka matope kibaraka Wa ccm ni seifu Wa Zanzibar anayelipwa na ccm mpaka sasa

0 comments:

Post a Comment