Facebook

Wednesday 7 May 2014

Dr Mwakyembe"Madereva wa Malori ya Kwenda Nje ya Nchi Wanatutia Aibu wa Tanzania"


Dr Mwakyembe Akiwa njiani kwenda Congo Kufungua Kituo cha Bandari ya Tanzania ambacho kitasaidia Malipo kwa Wafanya Biashara wa Wanaopitishia Mizigo ya Bandari ya Dar es salaam aliweza kuona hali halisi waliyonayo Madereva wa Magari Makubwa ya Mizigo Kutoka Tanzania kwenda nchi zingine, Amehabarisha kuwa Madereva wa Tanzania ni wachafu na wananjaa Sana Kiasi wanatembea na Masufuria na vikombe kwenye Malori yao kwa vile hawana uwezo wa Kununua chakula Mahotelini wakiwa njiani ni Bora wafike mahali Wapike...Amesema hii inatia Aibu Taifa kwani ukikutana na Malori Mengine kutoka nchi zingine ni wasafi na wanaonekana Wamewezeshwa vya kutosha, amesema Madereva wa Tanzania Wamesema wanapewa Hela kidogo ya Kujikimu njiani , Boss anakupa laki tatu hiyo uitumie mwezi mzima ukiwa njiani ni haki Kweli ? Mwakyembe amehaidi kulishughulikia hilo swala

0 comments:

Post a Comment