Facebook

Tuesday 13 May 2014

Inatisha:Kikongwe Auwawa kwa Imani za Kishirikina


Mauaji ya kutisha yamezidi kuitikisa kahama baada ya  Bi Tabu Mtema, miaka 33 mkazi wa kijiji cha BUSULWANGILI Kahama  Shinyanga kuuawa kwa kukatwakatwa mapanga na watu wasiojulikana baada ya watu hao kuvamia nyumbani kwa marehemu na kumjeruhi vibaya kwa mapanga.

Tukio hilo limetokea katika kijiji cha BUSULWANGILI (W) Kahama (M) Shinyanga  jana saa 19:00 nyumbani kwake na watu wasiojulikana ambao pia watu hao walimjeruhi kichwani mume wa mama huyo kwa kutumia panga...

0 comments:

Post a Comment