Facebook

Thursday 8 May 2014

Kocha wa klabu ya Yanga asitisha mkataba wake.!!

 
kocha 

Taarifa ambayo inatolewa muda huu na Uongozi wa Yanga ni juu ya kuacha kazi kocha wa timu hiyo Hans Van Der Plujim ambaye aliungana na timu hiyo January 2014,sababu za kocha huyo kuacha kazi ni kile kilichoelezwa kuwa amepata dili nchi nyingine na mkataba wake na Yanga ulikua unamalizika July mwaka huu.
Timu ambayo anaenda kocha huyo ipo nchini Saudi Arabia,

kwa taarifa zaidi endelea kupitia katemimethsela.blogspot.com

0 comments:

Post a Comment