Tuesday 6 May 2014
Liverpool rasmi yaukosa Ubingwa.......!
....Liverpool...end of the dream....hizi ndo mechi za Jumatatu usiku bana....Thanks for the tears Luis Suarez....mbongo angetupia bao 30 na zaidi hata akikosa ubingwa hajali.....Kazi imebaki kwa Man City baada ya Liverpool kutoa sare lao hii na Crystal Palace ni majonzi kwa mashabiki na wachezaji wa Liverpool leo hii
0 comments:
Post a Comment