Nyota
wa vipindi vya televisheni vya Oprah Winfred Show na runinga la Oprah
Network, Bilionea Oprah Winfred ni miongoni mwa watu weusi waliotangaza
nia ya kutaka kuinunua timu ya Los Angeles Clippers.

Mwanamuziki maarufu wa Rap P. Diddy, naye pia ana mpango wa kuinunua timu ya LA Clippers endapo itauzwa.

Nyota
wa zamani wa mchezo wa kikapu Magic Johnson. Ni miongoni mwa watu
matajiri weusi waliotangaza nia ya kuinunua timu ya LA Clippers.

Nyota wa masumbwi Floyd Mayweather ametangaza nia ya kuinunua klabu hiyo baada ya kutangazwa na NBA kuwa lazima iuzwe.

Kiongozi
wa haki za watu weusi nchini Marekani Mchungaji Jesse Jackson akiongea
jambo na Chris Paul na Jamal Crwaford ambao ni wachezaji wa LA Clippers.

Nyota
wa zamani wa mpira wa kikapu Kareem Abdul-Jabar akikumbatiana na Meya
wa jiji la California Kevin Johnson wakati wa mkutano na waandishi wa
habari kuhusiana na sakata hilo.

Rais
wa Marekani Barack Obama, akizungumzia sakata hilo wakati akiwa
Ufilipino kwenye ziara yake ya bara Asia, ambapo aliita ni matusi na ni
upuuzi.

Muongozaji
maarufu wa filamu Spike Lee (mwenye kofia) akiwa kwenye mkutano wa
waandishi wa habari wakati Kamishna wa NBA Adam Silver alipokuwa
akitangaza adhabu dhidi ya mmiliki wa LA Clippers Donald Sterling.

Tajiri
na mmiliki wa timu ya Los Angeles Clippers Donald Sterling, ambaye
amefungiwa maisha kushiriki kitu chochote kinachosiana na mpira wa
kikapu kufuatia kutoa kauli chafu na za kibaguzi na kuibua mjadala
mkubwa nchini Marekani.

Baadhi
ya wachezaji wa Los Angeles wakiwa wamegeuza fulana zao kuficha nembo
ya timu kama ishara ya kupinga kauli za kibaguzi zilizotolewa na mmiliki
wa timu Donald Sterling.

Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com uweze kujua kwa kina mwisho wa sakata hili la Ubaguzi ndani ya klabu ya kikapu ya LA Clippers
0 comments:
Post a Comment