Facebook

Sunday, 25 May 2014

Real Madrid yanyakua Ubingwa,yaichapa Atletico Madrid 4-1 fainali ya UCL

Delight: Gareth Bale scored a vital goal for Real Madrid in extra time in the Champions League finalGareth Bale aliifungia bao muhimu Real Madrid katika fainali ya UEFA.
Gareth Bale of Real Madrid celebrates with the Champions League trophy 
Bale akinyanyua kombe la UEFA
Welsh wonder: Bale with the flag of his home nation as he celebrates Real's victoryBale akiwa na bendera ya nchi yake wakati akishangilia ushindi wa Real Madrid.
Silverware: Captain Iker Casillas lifts the Champions League trophy for Real MadridNahodha Iker Casillas akinyanyua kombe
Uplifting: Ronaldo gets his hands on the trophy in Lisbon after Real's extra time victory Ronaldo akinyanyua kombe mjini  Lisbon baada ya  Real kushinda dakika za nyongeza
Dream duo: The £166m partnership of Ronaldo and Bale enjoy Real's victory at the Stadium of LightRonaldo na Bale  wakifurahia ushindi wa Real Madrid
Landmark: Real Madrid's players celebrate their 10th European Cup triumphWachezaji wa  Real Madrid wakishangilia ubingwa wao wa 10
HATIMAYE Gareth Bale ameisaidia Real Madrid kutumiza ndoto za `La Decima` baada ya kutwaa ndoo ya 10 ya UEFA kufuatia ushindi wa dakika za nyongeza katika mchezo wa fainali dhidi ya majirani zao Atletico Madrid.
Alizaliwa Wales, alikulia Southampton na kung`ara Tottenham, nyota huyo mwenye miaka 24 ameendelea kuonesha kuwa Real Madrid hawakukosea kumsajili kwa rekodi ya dunia baada ya kufunga bao ambalo limeandikwa katika historia ya klabu. Bale alionekana kutokuwa makini kipindi cha kwanza baada ya kupoteza nafasi za kufunga, lakini aliendeleza rekodi nzuri ya msimu wake wa  kwanza Real Madrid baada ya kuifungia bao la pili katika dakika za nyongeza, kabla ya vijana hao wa Carlo Ancelotti kushinda kwa mabao 4-1.article-2638187-1E2E9DB000000578-251_634x438 
  Kikosi cha Real Madrid:
Casilas Carvajal, Varane, Sergio Ramos, Fabio Coentrao (Marcelo 59), Modric, Khedira (Isco 59), Di Maria, Bale, Benzema (Morata 79), Ronaldo.
Wachezaji wa akiba: Diego Lopez, Pepe, Arbeloa, Illarramendi.
Waliopata kadi za njano: Ramos, Khedira, Marcelo, Ronaldo, Varane.
Waliofunga magoli. Ramos 90, Bale 110, Marcelo 118, Ronaldo 120. Kikosi cha Atletico Madrid: Courtois, Juanfran, Miranda, Godin, Filipe Luis (Alderweireld 83), Raul Garcia (Sosa 66), Gabi, Tiago, Koke, Villa, Diego Costa (Adrian 9).
Wachezaji wa akiba: Aranzubia, Mario Suarez, Rodriguez, Diego.
Mfungaji wa Goli: Godin 36.
Walioneshwa kadi nyekundu: Garcia, Miranda, Villa, Juanfran, Gabi, Koke, Godin.
Mwamuzi: Bjorn Kuipers (Holland)


 
Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com kupata picha na stori mbalimbali kuhusiana na Fainali ya UCL  

0 comments:

Post a Comment