Facebook

Saturday, 24 May 2014

Video:Njemba lajitokeza kumuoa yule binti wa UDSM aliyekuwa anadai masomo magumu anataka kuolewa,na lenyewe lalamika masomo magumu..

Picha bado linaendelea kuhusiana na yule mwanafunzi wa kike anayesoma Chuo Kikuu Cha Dar Es Salam,Ramona Swai.
  Aliyejirekodi video na kuisambaza kwa njia ya Whatsapp akidai kuwa amechoka kusoma kutokana na ugumu wa elimu hasa assignment mbalimbali na maswali magumu wanayotolewa 
 

Na akitoa rai kwamba kama kuna mwanaume mwenye pesa kutoka sehemu yeyote aende kumuoa kwani yuko tayari kuacha masomo ya Chuo na kwenda kuolewa

Hivi leo kuna mwanaume asiyejulikana amerekodi video huku akiwa ameficha sura yake akisema kwamba yuko tayari kumuoa Ramona Swai.Huku  jambo la kustaajabisha na yeye amelalamikia suala la ugumu wa masomo na kumuunga mkono Ramona Swai kwa kile alichokosema katika video yake.Huku akisema hana pesa za kutosha lakini atatumia fedha ya mkopo "BOOM" waweze kulisongesha gurudumu hili gumu la maisha....Angalia video hapo juu uweze kujionea kuoja hiki......

Kama haukufanikiwa kuona ile video na stori nzima inayohusiana na sakata la Ramona Swai unaweza kuifuatilia stori hiyo na kuangalia video hiyo kwa kubofya hapa chini...........................
>>>>>STORI NA VIDEO YA RAMONA SWAI>>>>>>>>>>

Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com kwani tuna ma-ripota kila sehemu ambao wanatupatia habari kwa wakati muafaka na sisi tunakuletea habari zote hapa bila zengwe,kazi yako ni kutembelea blog hiiuweze kujua kila kitakachokuwa kinajiri kuhusiana na sakata hili.

0 comments:

Post a Comment