Facebook

Thursday, 12 June 2014

Hostel za wanafunzi zaungua moto vibaya Mbeya.

Moto umetokea majira ya saa tano kasolo katika Chuo cha Mzumbe Tawi la Mbeya katika Vyumba vya kulala wanafunzi (hostel) ya Mputa zamani ilikuwa inafaamika kama block A.
 
   Watu wengine walikuwa ndani kama kawaida wakatimoto huo unatokea chumba namba 30 flow ya chini kabisa ambayo wanalala wanafunzi wa kike wanaosoma Chuo hicho
Chanzo cha Moto huu inasemekana ilikuwa ni simu ilikuwa ikichajiwa

Lakini kunauvumi kuwa system ya umeme pia sio nzuri
Simu iliripuka Na kuzua moto huo mkali
Bahati nzuri ndani kulikuwa na mwanafunzi mmoja aliyekimbia nje kutafuta msaada ndipo watu wakajaa ila moto ulikuwa mkubwa sana.

 
Vitu vyote vimeungua zikiwemo laptops,simu za mkononi na vitu vingi vya thamani.
Baada ya tukio hile Hostel zimefungwakwa muda ili kuruhusu uchunguzi na ukarabatii wa Hostel hizo.

 
Tuko katika maboresho hivi karibuni blog hii itakuwa ni site ambayo itaitwa www.bantutz.com ni katika hatua za kuboresha huduma zetu za kutoa habari na burudani.Tutakuja katika muonekano mpya na bora zaidi.Vitu vizuri vipya usivyotarajia utaviona na kufurahia kupitia www.bantutz.com....

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment