Mambo ni aje wadau, Leo Nimeona tupeane mawili matatu juu ya Namna ya
kutumia windows 8 kwa network...Kwa wale ambao wamekuwa wakitumia
Windows 7 nadhani hawana hamu hata kidogo ya kusikia windows 8 kwa kuwa
features nyingi zimefichwa ...hasa hii ya wireless network maarufu kama
AD HOC network,
AD HOC network ...Hii ni Computer to Computer networking ambapo computer ambayo inaACT kuwa NODE kwa internet access ya Computer nyingine....kwa kuwa computer hiyo inakuwa connected to internet kupitia USB Modem, Cable Wire etc. Kwa maana rahisi Internet Node kwa computers ziko dynamic kwa kuwa data zinakuwa forwarded from one computer to another. Kuna Hatua chache za Kufuata ili kufanikisha WIRELESS network iweze kufanya kazi kwa operating system ya Windows 8....Twende sawa step by step. 1. Fungua Command Prompt kwa ajili ya kuandika Commands kwa kufanya network wireless ifanye kazi NOTE: Hakikisha una OPEN Command Prompt kama ADMINISTRATOR...>>>RUN as ADMINISTRATOR<<< 2. Andika command hii netsh wlan show drivers kama inavyoonekana hapa chini 3. Baada ya Hapo hakikisha HOSTED NETWORK SUPPORTED kama Imekuandikia YES kwenye matokeo ya hiyo Command uliyoandika hapo Juu. Ikitokea imekuandikia YES kama inavyoonekana hapo juu hyo hosted network, Ujue kuwa inawezekana kuweka network wireless na drivers zinasupport lakini ikitokea haijakuandika YES maana yake inabidi uka UPGRADE drivers za Operating System yako na wakati mwingine hata ku upgrade hardware kama ikit0okea hazipo. (wireless card) 4. Sasa tunaweza SET wireless network kwa kutumia command....(Hii njia inahitaji umakini wa hali ya juu kwa kuwa kwenye commandline moja tunaingiza password na wireless name)....Hii ndo commandline ya kuandika ili kuset network yako netsh wlan set hostednetwork mode=allow ssid=enter_network_name_here key=enter_password_here Naiandika mimi kama ndo naset sasa wireless yangu hapa chini (kwa ajili ya kukufanya uelewe wapi unatakiwa uweke username na wapi uweke password) Yote hayo unayaandika kwa command prompt yako netsh wlan set hostednetwork mode=allow ssid=kitenesi key=12345678 Kwa kielelezo kwa njia ya picha cheki hapa Naamini Tumeenda sawa hapo....Tuendelee na Stage zingine.... Sasa Tumeshaweka wireless network yetu kinachofuata hivi sasa ni kuhakikisha kuwa tunaiSTART iweze kuanza kuonekana katika system yetu, Hapa unachotakiwa kufanya ni kuandika commandline nyingine kwenye command prompt....iko hapa chini netsh wlan start hostednetwork Tumalize somo letu kwa kuhakikisha kuwa tuna TURN ON network Sharing kwa ajili ya computer zingine kuweza kushare network yako. Baada ya Kufungua network sharing centre...Utakuta jina la network ulioCREATE, na baada ya hapo CLick Network hiyo uliyoCREATE muda huu alafu Nenda sehemu ya Sharing....kama inavyoonekana hapa Kuna wadau ambao vitu kama hivi kwao kidogo ni VIGUMU sasa kuna njia rahisi zaidi ni ya kutumia software inaitwa VIRTUAL ROUTER ambayo humuwezesha mtu kufanya connections kirahisi zaidi kwa computer yake kusambaza network Download Here File Attachment:File Name: VirtualRouterInstaller.zipFile Size: 966 KB Baada ya hapo Somo letu LIMEKWISHA....Nakaribisha Maswali na Comments ....Mpaka hapo sasa Tumemaliza kuSET wireless network kwa windows 8, majaribio haya kama mwana Complex unatakiwa udevelop zaidi, namaanisha nenda kajaribu na kwa Windows XP, 7, Vista then utupe majibu....
Source:Complex System
|
0 comments:
Post a Comment