Mambo vp wadau, naamini tuko salama sote. Leo ningependa kushare nanyi
kitu ambacho kimezoeleka sana lakini kuna kipindi ukikihitaji lazima
utaikumbuka hii POST.
mitandao ya Simu hapa Tanzania huwa ina mfumo wa kutuma settings za internet kwa simu, mara nyingi settings hizi huwa zinakuwa zinasumbua sumbua sana kukaa na kufanya kazi kama kawaida. Basi kwa mtandao wa TIGO/VODACOM tunaimaliza habari yake hapa: nenda kwa sehemu ya network set up kwa simu yako wakati ukiwa unatengeneza APN basi ingiza details hizi : TIGO SETTINGS SET NAME (access point name): tigowap ACCESS NAME: wap AUTHENTICATION: normal HOME URL/HOMEPAGE: google.com ADDRESS: 10.168.20.80 PORT: 8080 VODACOM SETTINGS SET NAME (access point name): Vodacom WAP ACCESS NAME: wap AUTHENTICATION: normal HOME URL/HOMEPAGE: google.com ADDRESS: 10.154.0.8 PORT: 9401 Umeziona Mdau??? Hizi apo Juu ENJOY! Kama unazo za airtel, zantel na mitandao yetu mingine...comment apoo chini...Kama post imekusaidia THANK YOU
Source:Complex System
|
0 comments:
Post a Comment