Friday 18 April 2014
Mwanajeshi bandia akamatwa Kenya.......anagalia video na picha hapa........
Mwanajeshi bandia huko kenya amekamatwa wakati akiwa anasafiri, anaitwa Robert Mutuku na anakiri alipata hizi jezi za jeshi kutoka kwa rafiki yake ambae alikua anamtafutia kibarua jeshini.
Akiwa tayari anashikiliwa na polisi, Mutuku ambae pia alikua na kitambulisho feki cha jeshi amekaririwa akisema ‘ni kazi nilikua naitaka ndio maana niliomba hizi nguo kwa sababu naipenda hii kazi’
Hiki ni kitambulisho cha Robert Mutuku aliyekamatwa akijifanya ni Mwanajeshi
Robert Mutuku baada ya kukamatwa....akiwa anahojiwa na waandishi wa habari....
Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com kufahamu vioja mbalimbali vinavyofanywa na binadamu katika maeneo mbalimbali duniani
0 comments:
Post a Comment