Watu Wengi Wamekosoa na wengine kusifia Alichofanya Mpoki siku ya Tuzo
za Kilimanjaro Music Kwa Kile Alichokuwa Akifanya Jukwaani kwa Kutania
Matani ya Live Live kwa Wahuzuriaji na Wasaniii Siku hiyo
....Mwanamitindo Mange na Yeye Hakukosa cha Kusema :
Harrison Ford aumia aki"shoot" filamu.
Nyota wa filamu wa Marekani Harrison Ford ameumia wakati akiigiza filamu mpya ya Star Wars: Episode VII. Ford amepelekwa hospitali baada ya kuangukiwa na mlango katika studio za Buckinghamshire, Uingereza. Haifahami…Read More
Mapya yajiri,baada ya kifo cha Gorge Tayson !
KAMA huna taarifa, habarika sasa kwamba, mwili wa aliyekuwa mwongoza
filamu za Kibongo, marehemu George Otieno Okumu ‘Tyson’ (41) aliyefariki
dunia Mei 30, mwaka huu kwa ajali mbaya ya gari nchini Tanzania na
kusafiri…Read More
Picha za Gari jipya la Ney wa Mitego.
Mastaa mbalimbali wa Tanzania wamekua wakionyesha magari yao ambayo mengi
yamekua ya kifahari,kwa mwaka 2014 ni mwaka unaonyesha wasanii wengi
kumiliki magari ya gharama zaidi,mpaka sasa ni zaidi ya wasanii watano …Read More
Kelly Rowland "Mama Kijacho" ?
Mwimbaji wa Marekani Kelly Rowland ameonekana kuthibitisha taarifa kuwa ni mja mzito. Huu utakuwa uja uzito wa kwanza kwa msanii huyu wa zamani wa kundi la Destiny's child. Kupitia ukurasa wake wa Instagr…Read More
Riyama Ali:"Nikifa Sitaki Kusifiwa"
RIYAMA Ali mwigizaji wa kike asiye na kashifa katika tasnia ya filamu
Bongo, amefunguka kwa kusema kuwa kama kuna msanii mwenzake au mtu
mwenye mapenzi naye angependa kama ana sifa kuhusu yeye katika umahiri
wa kuigiza…Read More
0 comments:
Post a Comment