Beki wa Everton na timu ya taifa ya England John Stones huenda asicheze
hadi mwakani baada ya kuthibitishwa kuwa anahitaji kufanyiwa upasuaji
katika kifundo cha mguu. Stones, 20, aliumia katika mchezo dhidi ya Manchester United siku ya Jumapili na anatarajiwa kutocheza kati ya wiki 10 hadi 14.
0 comments:
Post a Comment